Timothy Marko.
Tanzania
imeshauriwa kuwajengea uwezo wawekezaji wa ndani ili kuweza kujiendesha
kibiashara kwa kuboresha miundo mbinu iliopo
ili kuweza kukuza uchumi na kuorodheshwa katika masoko ya hisa ya
kimataifa.
Wito huo umetolewa na Meneja Biashara na Mauzo
wa soko la hisa la Dar es salaam DSE Patrick Mususa wakati akitoa taarifa za
mwenendo wa soko la hisa la Dar es salaam ambapo amesema kuwa hatua ya makampuni
kujiorodhesha katika masoko ya hisa ya nje ya nchi haina athari kiuchumi .
‘’Uwezo wa
Tanzania kuendesha masoko ya hisa upo katika kujenga miundombinu yakiuchumi kwa
kutiamkazo kwa wawekezaji wandani kuweza kujiendesha ‘’Alisema Meneja Mauzo na
Bishara Patrick Mususa .
Mususa alisema
kuwa mabadilko yaushindani wa makapuni kujiorodhesha katika masoko yahisa
yakimataifa kunawezesha mabadiliko ya bei katika masoko yahisa yakimataifa .
Alisema
kuwakatika makampuni ya ndani yaliyo
orodheshwa kimataifa nipamoja Acasher mining ambayo iliyorodheshwa katika
masoko ya hisa yanchini Uingereza .
‘’Mchakato
huu unawezesha makapuni ya ndani kuwa na ubia na makapuni ya nje ilkuweza
kujiendesha kisoko nakuweza kujitangaza kimataifa ‘’Aliongeza Mususa .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni