MTUHUMIWA RAIA WA PASKSTAN NAUMAN KHALILU REHEMAN AKISHIKILIWA NA MAOFISA WA UHAMIAJI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI KINYUME CHA SHERIA MAPEMA HII LEO JIJINI DAR ES SALAAM |
MKUU WA UHAMIAJI MKOA WA DARES SALAAM JONH MSUMULE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI HAWAPO PICHANI |
Timothy
Marko
JESHI LA
POLISI idara ya Uhamiaji linamshikilia Raia wa pakistan kwa tuhuma za kuishi nchini
kwa miaka minne kinyume cha sheria kwa kutokuwa na kibali.
Nauman Khalilur
Rehman (33) anadaiwa kuwashawishi maofisa wa idara ya uhamiaji wa mkoa wa Dar
es salaam kwakutoa sh70,00000 kupatiwa kibali hicho .
Akizungumza
na waandishi wa habari Mkuu wa idaraya uhamiaji mkoa wa Dar es salaam Jonh
Msumule amesema kuwa mnamo Januari 29 mwaka huu raia huyo alikamatwa kwa
kujishughulisha na kuwa fanyisha mazoezi watu (gymu)suala ambalo nikinyume na
sheria za uhamiaji.
‘’Raia huyu
Nauman Khalilur Rehman tulimkamata akiji husisha na masuala ya michezo
yakutunisha misuli bila kibali amekuwa narekodi nzuri katika michezo ,pia
tuliweka mtego ambapo alitoa shilingi 70,00000 kwa maofisa wetu wa uhamiaji ili
aweze kupatiwa kibali cha kuishi nchini ‘’Alisema Mkuu wa uhamiaji JONH MSUMULE
.
Afisa
Uhamiaji Jonh Msumule alisema kuwa kutokana mtuhumiwa huyo wa paskistani pia
JESHI hilo linawashikilia nuru Mohamed ambaye niwakili wakujitegemea kwa
kugushi nyaraka za idara hiyo ilimtuhumiwa huyo apewe kibali naidara hiyo.
Wengine
wanaoshikiliwa na idara hiyo nipamoja na Mteze Dewiji ambaye nifanya biashara ,David wakalebela ambaye nimchezaji wazamani
kwakumhifadhi mtuhumiwa huyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni