Timothy Marko.
TAASISI ya
Albino Enterprises of Dar es salaam imemuomba Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa
Tanzania Jonh Pombe Magufuli kuendelea kupambambana na tatizo la Mauaji ya ya
watu wenye ulemavu wangozi linalotokana na imani za kishirikina .
Akizungumza
katika uzinduzi wa stika maalumu zilizo kuwa na ujumbe wakukomesha vitendo vya
mauaji wa watu wenye ulemavu jijini Dar es salaam Mtunza Hazina wa taasisi hiyo
Mwavua Kambi amesema kuwa kutokana najuhudi za Rais wa awamu ya nne Jakaya
KIKWETE kupambana navitendo vya mauaji yawatu wenye ulemavu wangozi
(Albino)wanaamini kuwa juhudi hizo zitaendelezwa na awamu ya tano katika
kupambana na vitendo hivyo.
‘’Tunamuomba
Mheshimiwa Rais Dkt.JONH pombe Magufuli kuendeleza harakati za Rais
aliyemtangulia Dk.JAKAYA Mrisho KIKWETE
ambaye alikuwa kipenzi cha watu wenye Albinism stika hii imebeba heshima
ya Rais wetu mchapakazi makini Dk.JONH Magufuli’’ Alisema Mtunza Hazina MWAMVUA
KAMBI .
Mtunza
HAZINA Mwamvua Kambi alisema sambamba nakuomba ushirikiano kutoka kwake pia
imemuomba Rais Mstaafu Jakaya kikwete kuweza kuwasikiliza katika kutekeleza
maazimo ya stika katika kukomesha vitendo vya mauaji ya watu wenye ulemavu
wangozi.
Alisema kuwa
kutokana na mchango mkubwa alionao Rais mstaafu JAKAYA kikwete katika kusaidia
watu wenye ulemavu nakuweza kumuomba Rais huyo wa awamu ya nne kuweza kuisaidia
taasisi hiyo .
‘’kwa RAIS
mstaafu JAKAYA KIKWETE tunakuomba utusikilize pale tunapohitaji mchango wako
ili kuweza kutimiza kusudio la stika hii ‘’Aliongeza Mwamvua Kambi.
Kamishina wa
polisi wa kanda maalum Simon SILO amesema kuwa jeshi hilo la polisi kuweza
kutoa ushirikiano katika kukomesha vitendo vya watu wenye ulemavu ALBINO
vinakomeshwa .
Alisema
jeshi hilo lapolisi lipotayari katika kufanya upelezi wa kina uhusiana
nawatuhumiwa wavitendo vya mauaji ilkuhakikisha watuhumiwa wanavikishwa
Mahakamani .
‘’JESHI la polis
mojakwa moja lipotayari kupata taarifa kabla ya mauaji hayatokea ilikuweza
kudhibiti vitendo hivi’’ Alisema KAMISHINA
SILO.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni