Blogu hii makini iko kwa ajili ya kuhabarisha masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Karibuni sana.
Jumanne, 29 Desemba 2015
RAIS MAGUFULI KUWA MGENI RASMI KATIKA MKESHA MKUBWA MWAKA MPYA .
Timothy Marko.
RAIS wa Jamuhuri Wamuungano watanzania Jonh POMBE MAGUFULI Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkesha mkubwa wakuliombea taifa unaotarajiwa kufanyika Desemba31 mwaka huu .
mkesha huoambao unatarjiwa kufanyika katika viwanja vyauhuru unalenga kumuombea Rais huyo waawamu yatano baada ya kuonesha juhudi kubwa katika kuwatumikia wananchi nakutatua changamoto zinazo ikabili nchi.
Akizungumza Katika mkutano waandishi wahabari MAPEMA hii leo jijini Dar es salam mratibu WAMKESHA huo GODFREY MALASI amesema kuwa kwakipindi kirefu taifa limekuwa likipitia changamoto mbalimbali lakini Kutokana naumahiri wa Rais Magufuliameweza kutatua baadhi ya changamoto hizo ikiwemo upatikanaji wahuduma za jamii ikiwemo afya kwa kipindi kifupi
ALISEMA kuwa pamoja na kuwepo kwa changamotohizo pia awali baadhi ya viongozi wasiasa wamekuwa wakitoa kauli za vitisho k
katika kipindi cha uchaguzi mkuu uliopita .
‘’KATIKA kipindi cha uchaguzi tumeweza kushudia kumekuwa na vishiria vyaunjifu wamani ikiwemo baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakitoa kauli ambazo zilikuwa zikiashiria uvunjifu wa amani lakini tumeweza kuvuka kipindi hicho pasipo kuwa na machafuko ‘’ Alisema Godfrey Malasi .
Malasi alisema mkesha mkuuhuo unatarajiwa kufanyika Desember 31 katika viwanja vya uhuru mwaka huu ambapo utauhudhuriwa na baadhi viongozi wa serikali .
Alisema kuwa Mkesha huo utaendana sambamba na Maombi ya matatizo na changamoto mbalimbali zinazo ikabili taifa ili Mungu aweze kuipa kibali nchi ya Tanzania kuweza kutatua changomoto hizo ikiwemo masuala mbalimbali ya rushwa na ufisadi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni