Timothy Marko
kufuatia sherehe za mwisho wa mwaka kufikia ukingoni Jeshi la polisi kanda maalum limesema litaimarisha ulinzi katika maeneo yote yajiji kwa kutumia zana za kisasa ikiwemo Hebpkota katika kuimarisha ulinzi katika maeneo yote ya jiji .
Akizungumza katika mkutano wa waandishi Kamishina Sulemani KOVA amesema kuwa kwakushirikiana navikosi vya zimamoto jeshi hilo limejipanga kudhibiti majanga mbali mbali ikiwemo matukio ya moto .
''Tumesha ongea navikosi vya ulinzi pamoja najeshi lazimamoto ilkuweza kudhibiti matukio mabalimbali yatakayo hatarisha usalama wa wananchi''Alisema Kamishina kova .
Kamishina KOVA alisema kuwa yeyote atakaye jihusisha vitendo vyakiaharifu jeshi hilo halitasita kumchukulia hatua za kisheria .
Alisema kuwa nivema wananchi wakasherekea sherehe hizo kwa ngazi za familia kwa utulivu na amani .
''Wanakwenda katika nyumba za ibada tutaweka vikosi vya jeshi la polisi kulinda maeneo ya maeneo ya ibada ''Aliongeza KOVA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni