Jumatatu, 14 Desemba 2015

CRDB YAONGOZA KATIKA KASI YAKUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM

Timothy Marko. IDADI ya mauzo ya hisa katika soko lahisa la Dar es salaam (DSE) imepungua kutoka shilingi bilioni 38.9hadi kufikia shilingi bilioni 65.4 ongezeko hilo linafuatiwa baaadaya mtaji katika soko kuongezeka kutoka shilingikutoka trioni 20.1 nakuweza kufikia trioni20.1 kwakipindi cha mwiki iliyopita. Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jiijini Dar es salaam ,Meneja mauzo na biashara wa soko la hisa Patrick Mmsusa amesema kuwa ongezeko hilo la ununuzi wa hisa katika soko hilo nibaada ya Benki ya CRDB Kuongeza kiasi cha uuzwaji wa hisa zake kwakiwango cha asilimia 79.48 ikilinganishwa na kampuni ya TBL kwa asilimia 20.03 . ‘’Kiwango cha ununuzi wa hisa kimepungua kutoka shilingi bilioni 65.4 nakuweza kufikia kiasi cha bilioni 38.9 kwa wiki hii ,sawa na asilimia 41 ambapo jumla yamakampuni yanayo ongoza nimakapuni matatu ambayo ni CRDB ,TBL, pamoja na TCCL ‘’Alisema Meneja mauzo PATRICK Mmsusa . Meneja Masoko MMSUSA alisema kuwa upungufu huo wa mauzo yahisa yameweza kuchangiwa na makampuni ya NMG ,USL na ESBL Kuweza kupunguza kiwango chabei ununuzi wa hisa zake katika soko hilo la mitaji . Aliongeza kuwa sambamba nakupungua kiwango cha hisa katika soko hilo pia kumemechangiwa na sekta yaviwanda kushuka Kwa asimia 10.47 huku sekta yakibenki imeweza kushuka kwa asilimia 73.22.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni