Timothy Marko.KATIKA kuhakikisha sekta ya Teknolojia inakuwa hapa nchini na kuleta tija kwa taifa Serikali kwakushirikiana wakala wake wa mtandaoimezindua teknolojia mpya ya mwasiliano kwanjia video ambayo itarahisisha utendaji kazi kwa haraka na kwa wepesi zaidi .
Akizungumza na Waandishi wa Habari mapema hii leo jijini Dar es salam Mkurugenzi Mtendaji wa walaka mafunzo kwa njia yamtandao (TaGLA) Charles Senkondo amesema kuwa uzindunduzi wa teknolojia hiyo utawezesha utendaji kazi serikali kuwa wenye tija na manufaa kwa umma ambapo jumla yawashiriki 20,322 wameweza kupatiwa mafunzo kutokana na teknolojia hiyo .
''uzinduzi huu wa teknolojia hii umeweza kuwajengea uwezo jumla yawashiriki 20,322 kwakuweza kuhudhuria midahalo na mafunzo 783ya kubadilishana maarifa kati yamwaka2005 hadi juni mwaka huu '' Alisema Charles Senkondo.
MKURUGENZI Senkondo alisema kuwa mafunzo hayo yameweweza kutolewa kwa kwa baadhi yawatendaji waserikali wakiwemo mawaziri,wakuuu wa taasisi za uuma pamoja taasisi binafsi ambapo kituo hicho kiliweza kuanzisha maktaba za kisiasa nazile za maendeleo ikiwashirikisha
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni