Jumanne, 13 Oktoba 2015

RAIS KIKWETE AWATAKA WADAU WAUTAFITI KUTUMIA TAFITI KWA MAENDELEO.

Timothy MarkoSERIKALI imewataka wadau mbalimbali wamaendeleo kuzitumia tafiti zinazotolewa taasisi mbali ilkujiletea maendeleo yakiuchumi nakupambana na adui mkubwa ambaye ni magonjwa na umasikini .
Witohuo umetolewa mapema hii leo jijini Dar es salaam nakatibu Kiongozi Ombeni Sefue wakati akimuwakilisha Rais JAKAYA Kikwete katika tunzo za utafiti wamasuala ya afya iliyowajumuisha watalaam wasekta hiyo ambapo aliwataka kutoa tafiti za magonjwa ikiwemo Malaria pamoja na ukimwi .
''Katika nchi Zinazo endelea Ugonjwa wa ukimwi na malaria bado umekuwa na changamoto kubwa katika maendeleo ambapo idadi ya maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi imepungua kutoka asilimia 7.7 Hadi kufikikia asilimia 5.1 ambapo miundo mbinu hafifu katka tafiti bado imekuwa ni changamoto ''Alisema Ombeni SEFUE .
KATIKA taarifa ya Rais KIkwete iliyosomwa na KatibuKiongozi huyo ilisema kuwa katika bara la afrika bado imekuwa ikikabiliwa na magonjwa ya kuambukiza na yasiyo kuambukiza na mzigo mkubwa wakukabiliana na changamoto ya magonjwa hayo ilkujiletea maendeleo .
Alisema kuwa Bara la afrika bado limekuwa likikabiiwa na miundo mbinu hafifu katika sekta ya afya ilkuweza kukabiliana na magonjwa hayo ilkuweza kujiletea maendeleo ,nakusisitiza kuwa bara hilo limekuwa na mzigo mkubwa wakuwahudumia wagonjwa na kuwata watalamu hao kuwa na upeo mkubwa katika kutatua changamoto hizo.
''Malengo yamilenia yanafikia kikomo mwaka huu nimuhimu agenda za utafiti wa maswala mbalimbali zilenge malengo yamilenia tunakiwa kufanya utafiti ilkuweza kutatua changamoto za afya ''Aliongeza ombeni Sefue katika taarifa ilyotolewa na Rais KIKWETE .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni