Timothy Marko.KIWANGO cha Pato lataifa kimekuwa kutoka trioni 70.9 kwa mwaka jana hadi kufikia shilingi trioni 79.4 mwaka huu, ambapo wastani wa pato la mwananchi moja moja inadiriliwa kufikia 1,828,022 kwa mwaka .
Akizungumza na waandishi wa Habari Mapema hii leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi mkuu wa ofisi ya Takwimu nchini Morrice Oyuke amesema kuwa matokeo yapato lataifa kukuwa yametokana na ongezeko la thamani ya pato katika kipindi cha mwezi janauary hadi juni mwaka huu ambapo jumla ya shilingi trioni 45.5 ikilinganishwa naongezeko la thamani la shilingi trilioni 89.0 kwakipindi cha JANUARY hadiDesemba mwaka huu .
''Kutokana na matokeo ya takwimu zilizopo tunategemea kuwa hakutakuwa
na msukosuko ya kiuchumi ambayo itakayo athiri uzalishaji wa mazao na huduma hapa nchini ambapo tunategemea thamani yapato halisi itazidi shilingi trioni 89.0 kwa mwaka huu''Alisema Morrice Oyuke .
Morrice OYuke alisema kuwa kutokana na muongozo wa kimataifa wa utarishaji wa takwimu za pato la taifa ambapo shughuli za kiuchumi zimeweza kugawanywa katika makundi mbalimbali yakiuchumi ikiwemo kilimo na mifugo katika kipindi chamwaka jana iliweza kuchangia pato
lataifa kwa tani milioni 1.59 ikilinganishwa na tanimilioni 1.64
Alisema kuwa kiwango chauchimbaji madini ,mawe pamoja nakokoto kimeweza kuchangia pato lataifa kutoka kg 10,682 kwa mwaka huu ikilingani shwa nakilogramu 9,917 kwa kipindi cha mwaka jana .
'' Shughuli za uzalishaji bidahaa viwandani zimekuwa kutoka asilimia 6.9 kwa kipindi cha robo yapili ya mwaka huu ikilinhanishwa narobo yapili yakipindi cha mwaka jana asilimia 10.1'' Aliongeza Mkurugenzi Oyuke.
''
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni