Timothy Marko.Kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (DP) Christopher Mtikila kimezua utata baada ya aliyekuwa mkewe ambaye nimjane wa Mwenyekiti huyo Georgea Mtikila kusema kuwa anashangazwa nakifo cha mwenyekiti huyo aliyefariki kwa ajali ya gari hivi karibuni .
Akizungumza Katika Mkutano nawaandishi wa Habari mapema jijini Dar es salaam Mjane wa kiongozi huyo Georgea Mtikila alisema kuwa mumewe alifuatana na Victor James Manyai ambaye alikuwa ni derevamsaidizi ambapo madereva hao hawakuweza kutambulika na kiongozi huyo ambapo inasemekana dereva alikodi gari wakiwepo Mgaya partriki pamoja nadereva huyo ambaye aliweza kufahamika wakati gari likienda gari lilipata ajari Katika Kitongoji Cha makambako Katika mkoa wa njombe wakati wanarudi mchungaji mtikila alipata ajali pekeyake .
'' ajali ilkuwa mbaya sana wakati huo kulikuwa namtu mmoja ambaye ni Mchungaji Mtikila peke yake Hakuna aliyeweza kujeruhiwa hata momoja cha ajabu kwangu mtu ambaye alikuwa mlinzi wa kujitolea (body Guard )ambaye ni Mgaya Patriki sijawahi kumuona hata baada yamazishi ya mumewangu kujakuniambia eneo la ajali pamoja nakufanya juhudi za kupigia simu ''Alisema Georgea Mtikila
Georgea Mtikila alisemakuwa nakumtaka mheshimiwa Rais Wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania JAKAYA KIKWETE kuweza kuunda tume itakayo chunguza undani wa chanzo cha mumewe Christopher Mtikila Aliye fariki hivi karibuni .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni