Jumanne, 11 Agosti 2015

MILIONI MBILI HUFARIKI KUTOKANA NAAJALI ZA BARABARANI.

Timothy Marko.Watu zaidi ya milioni mbili hufariki kutokana na ajali za barabani kila mwaka dunianiani wakati huo huo mtu mmoja kati yawatu ishirini hujeruhiwa kutokana na ajari zitokanazo na makosa yausalama barabarani .
TAKWIMU hizo zimetolewa hivi karibuni na shirika la afya Duniani katika washa iliyotolewa kwa waandishi wabari jijini Dar es salaam juu ya uandishi bora wa habari zizazohusiana na maswala mbalimbali usalama barabani.
Akizungumza katika washa hiyo yasiku mbili muwakilishi mkaazi washirika lafya duniani Mary kessy amesema kuwa tatizo la ajali za barabarani limekuwa ni swala mtambuka hivyo vyombo vyahabari vinavyo wajibu wakuonyesha matokeo na athari pamoja wajibu waabiria juu yakudhiobiti vitendo vinavyo ashiria uvunjifu washeria za usalama barabani .
''Uchunguzi umefanyika nakubaini kuwa ajali nyingi barabarani zina sababishwa na makosa yakibinadamu ikiwemo unywaji pombe kupitakiasi,kutovaa mkanda,kutovaa kofia ngumu ''Alisema Mary Kessy .
Kessy alisema kuwa sambamba nasababu hizo kumekuwa nausimamizi mbovu washeria za bara barani nakutozingatia sheria za usalama barabani hali inayosababisha ajali nyingi barabarani .
''kumekuwa namapungufu ya usimamizi wa sheria za barabarani wadau mbalimbali wanatakiwa kuboresha sheria za usalama barabarani ilkuuepusha ajari''Aliongeza Kessy
kamanda wakikosi cha usalama barabarani inspekta wapolisi Deus Sokoni amesema kuwa Suala la kudhibiti ajali babarabarani sio swala lajeshi hilo pekee bali suala hilo nimtambuka nakubainisha kuwa linahitaji sekta mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari .
Deus Sokoni alisema kuwa Katika usimamizi washeria za barabarani jeshi hilo linaongozwa nasheria mbalimbali ikiwemo Sheria yausalama barabani kifungu cha 906 ambapo baraza la usalama bara barani ndilo lejukumu lakusimamia sheria hizo .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni