Jumanne, 30 Desemba 2014

BODA BODA WAASWA KUZINGATIA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI.


Timothy Marko.
KATIKA kuhakikisha Ajali zinazotokana nabodaboda zinatokomezwa hapanchini Waendesha bodaboda wametakiwa kuzingatia mafunzo yaendeshaji wa pikipikihizo ilkuweza kuondokana ajali katika kipindi hiki cha mwisho wamwaka .

Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini  Dar es salam Afisa habari wa jumuhia ya waendesha boda boda katika mkoa wa Dar es salaam Abdallah Bakari amesema kuwa kutokana nakuwepo kwa waathirika wa ajali mbalimbali zina zotokatokana nakutozingatia sheria za usalama barabani  Jumuhia hiyo imeamua kufanya matembezi maalumu ya kuwa juliahali waathirika mbalimbali wa ajali zinazotokana ajali  za barabarani waliopo katika hospitali mbalimbali za mkoa wa Dar es salaam.


‘’Sisi Kama jumuhia ya waendesha boda boda tunataarajia jananuari  mosi mwaka ujao  kufanya matembezi maalumu yakuwatembelea wa athirika wa ajali waliopo katika hospitali katika wailaya yailala ambapo tuna tyaraji a mgeni rasmi wa matembezi hayo atakuwa Naibu waziri wa kazi najira Mheshimiwa Makongoro Mahanga’’Alisema  ABDALLAH BAKARI.
Bakari aliwataka waendesha boda boda walipo jijini Dar es salam kujitokeza ikujifunza na kujionea maadhara yanayotokana una undeshaji mbovu wa  bodaboda .

. .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni