Jumatano, 31 Desemba 2014

MWAKYEMBE AWASIMAMISHA KAZI WATANO TRL

Timothy Marko.
WAZIRI wa uchukuzi amewasimamisha maofisa watano katika shirika la leri nchini kwa tuhuma za kugushi tiketi nakuwauzia abiria bei yajuu ambapo tikezihizo ziliuzwa shilingi 61,200 wakati bei halisi za tiketi kituoni haponi shilingi 16000 .
Akizungumza katika kikao cha dharura kiliichoitishwa na waziri huyo katika shirika hilo Waziri mwakyembe aliwa taja watuhumiwa hao kuwa ni Staneley MAKUNJA ,Jack SON Moses , rugwa, Edward Benediti pamoja LUCY Mtinywa.
Katika hatua nyinginehuyo waziri wa uchukuzi amesema kuwa serikali imeweza kuagizakutoka india  mabehewa225  mapya katiya hayo 174 kwaaajili ya kubebea mizigo  nchini.   
‘’TRL IPO  katika halimbayaimekuwa ikisua sua katika huduma zake tunaka shirika laleri nchini liwemfano wakuigwa ‘’Alisema Waziri wauchukuzi .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni