Alhamisi, 3 Julai 2014

JAJI BOMANI AWATAKA UKAWA KURUDI BUNGENI NA KUFANYA MARIDHIANO NA WABUNGE WA CHAMA CHA MAPINDUZI

Timothy  Marko.
KUFUATIA mvutano wa Chama cha mapinduzi (CCM) na wabunge wa kambi ya upinzani  wanao unda umoja wa katiba ya wananchi( Ukawa) kususia mkutano wa bunge la katiba unaoendelea nchini aliyekuwa jaji mkuu wa watanzani a jaji Mark Bomani amewataka wabunge wa naunda kundihilo la ukawa kurudi bungeni ilikuweza kufanya maridhiano baina yao na chama tawala .
Akizungumza na waandishi wahabari jijini leo Jaji Mark Bomani amesema kuwa nilazima wabunge hao kukaa pamoja nawawabunge wezao wachama tawala ilkuweza kuleta maridhiano nakuziweka tofauti zao pembeni nakusisitiza kuwa ikiwezekana maswala yanayoleta migongano ikiwemo muundo wa serikali inafaa maswala hayo kuwekwa pembeni nailkuweza kujadili maswala muhimu ya taifa yanayohusiana na mstakabali wanchi.
‘’Napendekeza kwamba Bunge Maalumu likikutana mwezi ujao liweke kando kwanza suala laidadi yaserikali ili iyaangangalie yale masuala mengine ,kwa muda wa wiki mbili hivi wakati tukitafuta muafaka labda hata baada ya uchaguzi wa mwaka 2015’’Alisema  jaji Mark Bomani.
Jaji Bomani alisema kuwa kuna katiba ya sasa inayofanya kazi ingawa inadosari lakini katibahiyo tunaweza kuuendelea nayo hadi muafaka wa maswala mbali mbali yamuundo waserikali utakapo patikana nakusisitiza kuwa swala la serikali nimuhi mu sana ilkuliweka katika ilani ya uchaguzi za ilani ya uchaguzi mbalimbali.
Alisema endapo suala lakujadili muundo waserikali ukachukua ajenda muhimu lakini kama suala hilo lisivyotazamwa vizuri linaweza kuleta nchi katika machafuko makubwa.
‘’Mimi nadhani kuwa kama tukilizamisha uamuzi juu ya ya serikali tutaingiza nchi yetu kwenye tafurani kubwa ambayo matokeo yake nipamoja na kuvuruga amani yetu nakudumiza Maendeleo yetu’’Aliongeza Mark bomani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni