Timothy Marko.
KUFUATIA tukio la
moto mkubwa uliotokea jijini hivi karibuni,katika soko la
mchikichini jeshi lapolisi kaanda maalum
jijini Dar es salam limesemakuwa bado linaendelea kufanya uchunguzi wa tukio
hilo lili lo tokea jumatano majira ya saa tano usiku .
Akizungumza
jijini jana na waandishiwahabari ,Kamishina wa jeshi hilo lapolisi jijini Dares salaam suileiman
kova alisema kuwa pamoja najuhudi zilizofanywa nakikosi cha zimamoto na shirika la umeme Tanesco Moto huo
ulikuwa niwenye kiwango kikubwa hali iliyopelekea kutekeza sehemu kubwa ya soko
hilo lamchikichini kuteketezwa na moto.
‘’Jitahada
zilifanywa nakikosi cha zimamoto kutoka jiji ,bandari na kampuni binafsi zenye
magari yenye zimamoto hali ilikuwa ngumu sana kulingana na bidhaa zilizokuwa
zinazoungua ikiwemo pamoja na nguo,viatu,mabegi pamoja navifaa vya plastiki
ambavyo vilichochea moto kuweza kusambaa kwa kasi.’’Alisema Kamanda Suleiman
Kova.
Kamanda
Suileiman Kova alisema kuwa jeshi hilo liliweza kudhibiti vitendo vya kihalifu
ambavyo ningeweza kutokea ambapo jeshi hilo lifanikiwa kudhibiti vitendo hivyo ambapo
aliongeza kuwa lilifanikiwa kuzima moto majira saatisa usiku huku ulinzi
ukimalishwa.
Alisema
kufauatia tukio hilo lamoto hakuna alijeruhiwa wala kupoteza maisha nakuongeza
kuwa mizigo iliyokuwemo katika soko hilo
haikuweza kuruhusiwa kuondolewa katika eneo la tukio ilikuweza kupata uthibitisho wanahusika.
‘’Mpaka sasa
haijaweza kufahamika chanzo cha moto huo kwakushirikiana na vikosi vyote
vilivyotajwa awali uchunguzi bado unaendelea ilikuweza kujua chanzo halisi cha
moto huo ikiwemo kwakutumia watalaam wakima abara ‘’alisema kamanda kova.
Katika hatua
nyingine kamanda kova amesemakuwamnamo juni 10mwakahuko kawe jeshi lake lilifanikiwa kukamata bunduki moja aina ya SMG pamoja kiroba
kilichukuwa kikisadikiwa kuwa nabangi nakufanikiwa kuwatia nguvuni watuhao .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni