Ijumaa, 30 Mei 2014

TANZANIA YATAKIWA KUJIFUNZA KUTOKANA NAMCHAKATO WA UCHAGUZI ULIOFANYWA KATIKA NCHI ZA MALAWI NA AFRIKA KUSINI

Timothy  Marko.
Tanzania imetakiwa kujifunza  kutokana nauchaguzi uliofanyika katika nchi za Malawi na afrika kusini ilkuweza kutengeneza mazingira bora yatakayo  wezesha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani kuwa wa huru na wahaki .
Akizungumza nawaandishi wahabari jijinileo, mwenyekiti wa  jukwaa la katiba nchini  Deus Kibamba amesema kuwa  kuwepo kwa tume huru yauchaguzi katika kuendesha mchakato huo wa uchaguzi baina ya nchi hizo mbili ilibainika kuwa tume ya uchaguzi ya afrika kusini (IEC)ilikuwa nawatumishi huru ikilinganishw a na Tume ya uchaguzi ya nchi yaMalawi (MEC) ambapo uundwaji watume hiyo ulitiliwa mashaka .
‘’Wakati nchi ya afrika kusini kulikuwa na tume huru ya uchaguzi iliyojulikana kama (IEC)tume hiyo ilikuwa na uongozi wa watumishi huru ambapo hali hiyo ilkuwa tofauti katika nchi ya Malawi hali iyopelekea kuwepo kwa udhaifu mkubwa  wa undwaji wa tume hiyo’’Alisema Deus kibamba.
Deus kibamba alisema kuwa ingawa kulikuwepo nachangamoto za  kiuchaguzi ambayo yalionekana wazi katika nchi ya Malawi lakini tume yanchi hiyo iliweza kutatua matatizo hayo yaliyo tokana na viongozi wanchi yamalawi.
Alisema kuwa katika nchi ya Afrika kusini Tume ya uchaguzi yanchi hiyo ilionekana ilikuwa ni makini katika kutoa maamuzi makini nakwaharaka katika kuondoa hitilafu pindi zilipo tokea .
‘’kwa mfano tume ya afrika kusini iliwaondoa maafisa wake hapo hapo mara walipobaini kunahitilafu bila kupoteza muda katika kituo chakupigia kura cha Niger Eastrand baada yakuhifa dhi vifaa nyumbani kwa wanachama  tume hiyo  ya Afrika kusini iliondoa si kwa kujenga heshima tu bali ijijengea heshima kutoka kwawadau wa uchaguzi na kwa wapiga kura’’aliongeza Mwenyekiti wajukwaa la katiba Deus kibamba.
Mwenyekiti huyo aliongeza kuwa hali ilikuwa tofauti katika nchi ya Malawi ambapoilishindwa kuwa tuhumu wa tumishi wake waliotuhumiwa kuiba karatasi za kupia kura kamailivyo katika nchi ya Tanzania.
Aliongeza kuwa hali iliyo pelekea Mkuu wa wilaya yalilongwe nchini humo kujiuzulu nyazifa zaobaada yakubaika kuvuruga uchaguzi katika nchi hiyo ya Malawi.
‘’lakini mara baada yakuombaradhi nakuendelea kufanya majukumu yao kama kawaida aidha katika maeneo mengine kutokana nasababu za kuridhisha kama Area24,blantye watumishi waliohusika hawakuchukuliwa hatua yoyote’’Aliongeza Kimbamba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni