Jumatano, 28 Mei 2014

SHIRIKA LA POSTA LA WEKAMIKAKATI YA KUFIKIA MPANGO WA MAENDELEO MATOKEO MAKUBWA SASA.

Timothy  Marko.
Katika kuhakikisha  shirika la posta linashiriki katika utekelezaji wa sera  ya mipango ya taifa yenyekuleta maendeleo ya haraka na kufanya Tanzania inakuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 shilika hilo limebuni mipango mkakati wa kuboresha huduma zake.
Akizungumza jijini leo na waandishi wahabari meneja   masoko wa shilika la posta nchini David George amesema kuwa shirikahilo limekuwalikiendeleza miradi mbalimbali katika kanda 92 zilizopo nchini.
‘’Shirika la posta limekuwa na miradi mbalimbali nchi nzima ambapo karibia kanda 92 zilizpo nchi nzima katika  kuboresha huduma za posta ikiwemo huduma za kimataifa za post cord ‘’alisema David George .
David George alisema kuwa katika mikakati ya kuboresha huduma katika shirika hilo limeboresha huduma za kusafirisha vifurushi katika mtandao  kimataifa kwa kutumia anuani za makazi (post cord ).
Alisema kuwa huduma nyinginezo ambazo zimeboreshwa ni pamoja na huduma za utumaji fedha kwanjia yaposta kama vile inteset Money Order ambazo hutumika katika kusafirishia fedha pamoja navifurushi mbalimbali  katika ukanda wa afrika Mashariki.
‘’Huduma zilizo boreshwa ni pamoja na interest money order ambazo humuwezesha mtumiaji wa huduma hii kutuma nakupoke fedha katika nchi za ukanda wa afrika mashariki.’’aliongeza  Meneja wa masoko wa shilika hilo la
posta.
Aidha ,meneja masoko washilika laposta aliongeza kuwa katika kuhakikisha shilikahilo laposta linatoa huduma kwa wananchi wake pia limeweza kujenga ofisi zipatazo 323 nchi nzima.
Alisisitiza kuwa moja yamikakati yakuboresha shirika hilo nikuweza kutanua huduma za Tehama vijijini zinazo julikana kama e-government.
‘’moja yamalengo yetu nikutanua huduma za Tehama vijjini ambapo mpango huo utajulikana kama e –government pamoja nakuteng’eza anuani za makazi ambapo mfumo huu awali ulikuwa unatekelezwa na mamlaka ya mawasialiano nchini (TCRA)’’Alisema David George.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni