Timothy Marko
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba
wamakubaliano na serikali ya ubeligiji juu
ya kukuza sekta ya maji nchini katika mikoa yenye uhaba wamaji hapa
nchini.
Msada huo
nikutokana na Tanzania kutaka kuboresha sekta yamaji hapa nchini ilikuweza
kufikia mikakati ya mpango matokeo makubwa sasa utakao wezesha mikoa yakigoma
na ile yapembezoni kuweza kupata huduma hiyo.
Akizungumza
leo wakati wautilaji saini wamakubaliano hayo katibu mkuu wa wizara ya fedha Servacius
likwalile amesema msaada huo utakao
gharimu shilingi bilioni 40 utakwenda katika mfuko wakuratibu maji.
‘’uhusiano
huu wakimaendeleo unajumuisha miaka miwili ijayo yaani mwaka 2014-2015 katika
Nyanja za maji nasekta ya kilimo kwamsaada wa Uro milioni 20 sawa na shilingi
bilioni40 za kitanzania utaleta mchango mkubwa wa kuratibu maji nchini’’alisema
servacius likwalile .
Likwalile
alisema sambamba nahilo serikali yaubeligiji itatoa udhamini kwa watalamu
wakitanzania wanahusiana na maswala yamaji ili waweze kukuza utalamu wa sekta
hiyo.
Aliongeza
kuwa serikali yaubeligiji ipo tayari kushirikiana na taasisi zakiserikali
nazile zisizo zakiselikali kuhusiana na miradi maalumu inayoendeshwa nataasisi
za kiserikali na zile zisizo zakiselikali kama vileTRIAS,VECO,DON
BOSCO,FRACARITA pamoja nasua nachuo cha
nelson Mandela.
Kwaupande
wake balozi waubeligiji wahapa nchini peter moor alisema ushirikiano baina
yatanzania umekuwa niwakipindikirefu zaidi miongo mine.
Peter moor
alisema serikali yake imeamua kutoa mchango mkubwa kwasekta hiyo kwakua sekta
hiyo ni msingi wa uchumi watanzania .
‘’sekta
yamaji nakilimo nimoja yavipaumbele kama ilivyo kaririwa na mkakati wakupunguza
umasikini Tanzania (mkukuta)pamoja naule mkakati mkubwa wakimaendele o
ujulikanao matokeo makubwa sasa’’alisema peter moor.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni