Jumanne, 11 Machi 2014

MGOGORO WA TRL NA SERIKALI NGOMA NZITO


Timothy  Marko.
WAFANYAKAZI wa  shirika la reli nchini wameitaka  serikali kufikia makubaliano yanyongeza ya mshahara shilingi laki tatu kwakiwango chachini nakile chajuu kiwe nishilingi  450,000 kwamwezi.
Akitoa juu yamwenendo wa maafikiano hayo leo katibu mkuu wa trau  jumuhia ya wafanyakazi wa reli nchini  ,Erasto kihwele amesema baada ya kupeleka mjumbe wao katika bunge la katiba linaloendelea mjini Dodoma nakisha mjumbe huyo kuweza kukutana nawazirimkuu  Mizengo pinda alisema kuwa waziri mkuu ametoa ahadi yakutana namjumbehuyo alhamisi ya wiki hii ilikutatua madai yao.
‘’tukamweleza kuhusiana namadai yetu alikiri wazikuwa anayafahamu machache moja ya madai yetu mojaikiwa nimadai yakuwa ni nyongeza yamshara aliongeza kukwa nasikia nyinyi  ni chadema tukakana tukamwambia sisi ni TRAU’’alisema Erasto kihwele .
Erasto kihwele alisema serikali imeridhia shilingi laki mbili na arobani kama kima chachini  aliongeza kuwa kumekuwa na mgongano wakimasilahi kati ya wafanyakazi warahaco  na kusiitiza kuwa serikali ipokatika mchakato wakushugulikia madai yao.
Kwa upande wake mwenyekiti wa jumuhiahiyo  Stanely  maboko alisema kuwa bajeti yaserikali ijayo itaweza kutatua mgogoro uliopo baina serikali na wafanyakazi washirika hilo
‘’kwakweli katibu wa wizara yauchukuzi atakwenda kuyashughulikia madai yetu yanyongeza ya mshahara nimetoka kusema kuwa mtu asiseme uongo maana uongo utahukumu lakini kusema kweli bajeti itayokuja ndio itatua mgogoro huu ni uongo ‘’alisema stanely maboko.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni