Timothy Marko.
Tume ya uchaguzi imebainikuwa baadhi ya vyama vimekuwa vikitumia lugha ya za chuki na zizisizo na staa nahata kuhamasisha baadhi yawananchi kuchukua sheria mkononi nakutoa vitisho kwa wapiga kura katika uchaguzi mdogo waubunge katika jimbo la chalinze .
Akizungumza jijini leo mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi nchini Damian Lubuva amesema tume hiyo imekuwa ikifuatilia mwenendo wa uchaguzi katikajimbo lachalinze nakubaini kuwa baadhi yavyama vyasiasa vimekuwa vikitumia lugha za chuki na zisizo za staha na kuhamasisha baadhi yawananchi kujichukulia sheria mkononi.
‘’Tume ya uchaguzi imebaini kuwa baadhi ya vyama vimekuwa vikitumia lugha za chuki na zisizo na staha na hata kuhamasisha wananchi kuchukua sheria mkononi nakutoa vitisho kwa Wapiga kura kwa lengo lakuwa zuia wasishiriki katika uchaguzi huo’’alisema Damian Lubuva .
Lubuva alisema kufuatia kuonekana kwavitendo hivyo tume yake inato onyo pamoja nakulaani vitendo hivyo kwanguvu zake zote kwa baadhi ya vyama vinavyojihusisha navitendo hivyo nawagombea wao aidha mwenkiti wa tumehiyo alisema tume hiyo ina vitaka vyama hivyo kufuata kanuni na taratibu za uchaguzi.
Alisema vyama vyote vyasiasa na wagombea kufanya kampeni za kiungwana nakunadi sera za vyama vyao kwakuzingatia sheria zilizo anishwa natume hiyo yauchaguzi nakuongeza kuwa vyama visihamasihe wanachama wao kujichulia sheria mkononi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni