Alhamisi, 12 Desemba 2013

Barazara la usafirishaji la nchi kavu limetoa angalizo la bei isiyotoka kwa mamlaka husika kwa kipindi cha sikukuu jijini Dar es Salaam



                BARAZA  la usafiri wa nchi kavu na majini(SUMATRA) limetoa angalizo kwa wasafiri watakao safiri kipindi cha sikuku za mwisho wa mwaka kuhakikisha wanasafiri kutokana nakiwango kilicho pangwa na mamlaka ya baraza hilo.
                  Aidha  baraza hilo la (sumatra)limwetoaangalizo hilo kufuatia kwa baadhi ya abiria kukubali kiwango ambacho hakija idhinishwa na mamlaka hiyo na kuzua malamiko kwa baadhi ya abiria wanaosafiri katika kipindi cha sikuku za mwisho wa mwaka.
                   Akizungumza na waandishi wahabari jijini jana,katibu mtendaji wa baraza lawatumiaji wanchi kavu namajini (Sumatra) Oscar kikoyo alisema anatoawito kwa abiria kuripoti vitendo vya namna hiyo kama vitajitokeza kwa mwaka huu .
                    Osca kikoyo alisema kumekuwa natabiakwabadhi yawafanyabishara kufanya huduma ndani ya mabasi na kufanya matangazo kwenye mabasi hayo jambo ambalo linaleta usumbufu kwa baadhi ya abiria wanaosafiri kwenye mabasi hayo.
                 “Mabasi mengi ya abiriayamegeuzwa kuwa soko au sehemu yamatangazo ya bidhaa,baadhi yamadereva wamekuwa wakiwaruhusu wafanyabiashara ndogo kama karanga,korosho,jambo ambalo lina leta usumbufu kwa abiria wanaopenda kujisomeandani ya au kupumzika ndani ya mabasi.”alisema osca kikoyo .
                     Kikoyo aliongezakuwa kitendo cha kuwaruhusu wafanyabiashara hao kufanya shughulizao ndani yamabasi nikitendo kinachoweza kkuhatarisha usalama wa abiria na mali zao nyakati za safarini.
                              ‘’Baaraza la Sumatra linatoa wito kwa TABOA kuendesh mabasi yao kwamwendo unaokubalika nakutoa usalama wa abiria kwanza najambo lakupata fedha liwe la baadaye”alisema osca kikoyo
         Na mwandishi wetu Timoth Marko

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni