Alhamisi, 12 Desemba 2013

Asasi inayoshughulika na kutetea haki za banadamu CHRF ,yapanga kuzinduliwa rasmi jijini Dar es Salaamu




       Asasi isiyo ya kiserikari inayoshughulika na kutetea haki za binadamu hapa nchini CHRF., inatarajia kuzinduliwa rasmi, jijini Dar es Salaamu ,tarehe 16/12/2013, mgeni rasmi wa maazimisho hayo ni Rais mstafu wa awamu ya pili Mh.Ally Hassan Mwinyi
,
        Mratibu wa asasi hiyo ndugu ,Anyisile Kyoso Amesema kuwa lengo la uzinduzi huo ni kuakikisha Tanzania inakuwa na amani na upndo kwa raia wake katika jamii yote inayotuzunguka ikiwemo ni ujumbe wa kuwafikia wananchi
         Hata hivyo ndani ya uzinduzi huo ni moja ya kuelimisha na kuwaewka sawa  jamii ili kuweza kuepukana na vishawishi vya kuvuruga amani kwa watanzania  na kuwaweka katika kitu  pamoja

         Vilevile ameeleza moja ya changamoto zinazowakabili katika mchakato mzima wa kuwafikishia ujumbe jamii ikiwemo ni kuwa nao bega kwa bega ili waweze kujua umuhimu wa mwananchi wa kawaida kujua faida ya amani
               
           Na ,Mwandishi wetu Dickson Yohane Sinkallah
           

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni