Jumamosi, 23 Novemba 2013

Lukuvi na mama Nanay wachukiwa na waanga wa mabomu Mbagala

     Waanga wa mabomu ya Mbagala wa mwaka 2009,wameilalamikia serikari ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa viongozi wake kwa kutotimiza madai yao, jijin Dar es Salaam
     
     Hayo yamesemwa leo katika kikao kinacho cha kujadili kuhusu madai yao ambayo mpaka sasa yapata miaka minene ,serikari imekuwa ikiwasumbua katika ufatiliaji wa madai hayo

     Pia ndugu ,Emanuel ERMAN Mkumbe ,ni mmoja kati ya waanga wa mabomu amesema kuwa wa kipindi hicho ni Mh.Willium Lukuvi,alikuwa mkuu wa sera na utumishi wa Bunge , kwa kipindi hicho hakuweza kutoa ushirikiano wa kutosha

       Hata hivyo Ndugu Fransis Nicholas Hhayuma ambaye ni mmoja Waanga wa mabomu,  ameeleza kuwa pamoja na Mama Nanay ambaye ni Naibu Mkurugenzi wa maafa ofisi ya wa ambaye alichochea kwa hata sehemu ya kufanyia mkutano wa Waanga hao wasikubaliwe
       
     Pia na  baadhi ya viongozi  wengineo ambao hawakuweza kuonesha ushirikiano katika kudai madai yao kama vile Diwani wa kipindi kile cha mabomu ya Mbagara kwa kuweza kuwatosa juu ya kutoa ushirikiano Ndugu Charles Underson,
     
      Vilevile waanga hao wanatarajia kuonana na Mh,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani kwa ajili ya kusikiliza madai yao tar 27.11.2013,pia wanahamini watafanikisha zoezi hilo juu ya madai hayo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni