Jeshi lapolisI jijini Dar es alaam limetoa msaada wa vitu mbalimbali katika shule ya msingi uhuru mchanganyiko kwa lengo la kuwasaidia watoto wenye ulema vu wa aina mbali mbali kama vile wenye Mtindio wa ubongo na wasio ona.
Kamanda wa polisi mkoa wakipolisi wa Ilala Marietha Komba amesema kuwa msaada huo ikiwemo Mchele Sukari Mafuta ya kupikia Unga wa kupikia ugali ikiwa lengo la kuwasaidia watoto hao ni kuhakikisha kua wanapata huduma bora katika kusoma maso yao kama watoto wengine ikiwa ni moja ya kuinua elimu ya vijana kwa wasomi wa taifa lijalo
Hata hivyo mkuu wa shule hiyo,Bi ANNE MANG'EYWA amesema kuwa shule hiyo ina idadi ya wanafunzi 657 na walimu 57, hata hivyo amezungumza changamoto wazokabliana katika kuwapatia elimu walemavu hao ikiwemo ni vifaa vya kusomea ambavyo vinagharama sana,ambao wazazi wa watoto hao wanashindwa kununua ,pia ameiambia serikali na taasisi zingine ziendelee kujitolea kwa moya mkunjufu
Pia katika mchakato huo walishiriki wadau mbalimbali kutoka Chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere,TEULA chama cha wanasheria wanawake,Ofisi ya mkurugenzi manispaa ya Ilala,na msimamizi mkuu wa unyanyasaji mkoa wa llala
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni