WAZIRI wa afya Maendeleoya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu |
WAZIRI wa afya Maendeleoya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu ameyataka makampuni yanayozalisha Sigara nchini kutoa Matangazo ya nayohamasisha uvutaji wa sigara .
Ummy Mwalimu alitoa wito huo kwa makampuni hayo wakati akitoa takwimu za hali halisi za uvutaji wa sigara nchini jijini Dar es salaam ambapo amesema kuwa katika nchi zinazoendelea tatizo la uvutaji sigara limekuwa likiongezeka siku hadi siku .
''Takwimu zinaonesha kuwa watu takribani milioni 35 ya watu katika nchi zinazoendelea kati yao asilimi60 ya watu hao wameweza kupoteza maisha ,kati yao asilimia 80 ya watu hao wamekuwa ni wakipato cha kati na cha chini ''Alisema Waziri Ummy Mwalimu .
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Ummy Mwalimu alisema kuwa idadi ya wavutaji sigara inatarajiwa kuongezeka mara 17 kwasiku zahivi karibuni baada ya miaka kumi ambapo inadiriwa kuwa bara la afrika lipo katika hatari zaidi .
Alisema kuwa katika ripoti za shirika la Afya duniani (WHO) Takwimu zinaonesha kuwa zaidi ya asilimia 27 ya vifo vinavyotokea duniani husababishwa na uvutaji sigara .
''Seikali inatarajia kutenga maeneo maalum yauvutaji wasigara ikiwemo viwany nakutoa taarifa sahihi ilikujua hatari nathari za uvutaji wa sigara ilikweza kupunguza kiwango cha vifo vitkanavyo nauvutaji wa tumbaku ''Aliongeza Ummy .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni