Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania |
Timothy Marko.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za serikali na asasi za kiraia katika kushiriki katika kufanya maboresho katika sekta yaelimu ilikuweza kukuza uwekezaji nchini.
Kwamujibu wa taarifa aliyoitoa waziri mkuu kwa vyombo vya habarimapema hiileo jijini Dar es salaam, Waziri mkuu Kassimu Majaliwa amesema kuwa nilazima watunga sera kuweza kuboresha mifumo ya elimu ili iweze kuendana na sekta mpya ambazo zimekuwa kivutio kwa wawekezaji wa ndani nanje ya nchi .
''Kwamfano Sekta yamafuta nagesi ,uzalishaji wabidhaa nahuduma zinakidhi viwango vyakimataifa nilazima zizingatie ushiriki wa watazania moja kwamoja katika uwekezaji ''Alisema Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa .
Waziri Mkuu Majaliwa alisema kuwa katika kuwawezesha wananchi kiuchumi Barazala taifa lauwezshaji wanachi kiucumi ndio chombo cha juu cha kitaifa ambacho kimepewa mamlaka ya kutathimini nakufuatilia masuala yote ya uwezeshaji ikiwemo ushiriki wa watanzania katika uwekezaji .
Alisema Kutokana namajukumu mbalimbali yaliopewa katika kuwawezsha wananchi kiuchumi waziri MKuu Majaliwa alili agiza baraza kutoa ushirikiano kwa wadau mbalimali wasekta za umma.
''pia ninawaagiza taasisi zote zilizopewa barua majukumu kuteua waratibu wakushiriki haraka ilikuweza kufanikisha utekelezaji waushiriki watanzania katika uwezshaji ''Aliongeza waziri Majaliwa .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni