Jumanne, 28 Februari 2017

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU USAMBAZAJI''. VIROBA''''

Tokeo la picha la JANUARY MAKAMBA
WAZIRI WA MAZINGIRA OFISI YA MAKAMU WA RAIS  JANUARY MAKAMBA  AKIZUNGUMZA NA  WAANDISHI WA HABARI HAWAPO PICHANI JIJINI DAR ES SALAAM .
Timothy Marko.
SERIKALI imepiga marufuku uingizaji,uzalishaji,na matumizi ya vifungashio vya plastiki ya kufungia pombe kali (viroba)kuanzia kesho katika mikoa yote ya Tanzania bara .

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Waziri wa Mazingira ofisi ya makamu wa Rais  January Makamba amesema kuwa zoezi la kusitishwa matumizi ya vifungashio vya pastiki lita endana na operesheni maalum kuanzia kesho likihusisha kamati za ulinzi nausalama katika ngazi yawilaya ,mkoa ,tarafa ,kata vijiji pamoja na mitaa .

''Kamati hizi zitawajibika kuwasilisha taarifa za operesheni wakati na baada ya opresheni hiyo na kuwasilisha katika ofisiza serikali za mitaa nakisha kuwasilisha nakala ya utekelezaji katika ofsi yamakamu  wa Rais''Alisema WAZIRI wa Mazingira January Makamba.

Makamba alisema kuwa kutokana nakikao chabaraza lamawaziri febuary 24 mwaka huu  kilitoa majukumu mbalimbali kwa baadhi ya taasisi ikiwemo mamlaka ya mapato nchini TRA Kuzingatia utozaji wakodi sambamba na stempu za kieletroniki ilikuweza kudhibiti ujazo wakati wwauzalishaji wabidhaa hiyo kwajili kuiezesha serikali kuweza kupata mapato stahiki yatokanayo nakodi,

Alisema kulingana nasheria ya vileo ya vileo na 28ya mwaka 1968namarekebisho yake yamwaka 2012Ofisi ya Rais Tawala zamikoa na serikali zamitaa inaipa mamlaka ya kuratibuzoezi hilo nakuhakikisha wafanyabiashara wabidhaa hiyo nawa tumiaji wanaendakinyume na sheria wanakamatwa nakufikishwa katika vyombo vya sheria.

''Katika operesheni hii tutakagua viwanda vyote vinavyojihusisha nauzalishaji wavileo na vifungashio vya ainambalimbali vya kufungia pombekali kama vimekidhi viwango vyakimataifa ''Aliongeza Makamba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni