MKURUGENZI Mtendaji WA TRL Masanja KADOGOSA Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam juu ya kurejea kwa usafiri wa treni kwa baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam. |
Timothy Marko.
KAMPUNI ya Reli nchini imesema kuwa usafiri kwanjia yatreni kupitia shilika hilo kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam hadi pugu unatarajia kurejea kesho baada ya Marekebisho madogo madogo kufanyika katika kituo kuu cha treni kililichopo katikati yajiji kuwezakukamilika .
Akizungumza nawaandishi wa Habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Shilika hilo Masanja kadogosa amesema kuwa Licha ya kampuni yake kuwahakikishia kurejea kwausafiri huo katikati yajiji hilo aliongeza kuwa safari zitakazoendelea nimbili tu hali hiyo inatokana utandikaji wa reli katika baadhi ya maeneo hauja kamilika .
''Bado utandikaji wa reli hauja kamilika kwani kazi yautandikaji wa reli ya kati Dar es salamu hadi pugu ulianza januari 2 mwaka huu kazi yaukarabati huanza kati ya saa 3;15 asubuhi hadi saa 8:15 mchana kazi hii ilitarajiwa kukamilika baada majuma mawili namajuma hayo tayari yamekamilika ''Alisema Masanja Kadogosa .
Mkurugenzi Kadogosa amesema kuwa lengo laukarabati huo unalenga kuimarisha njia yareli katika eneo ambalo kwasasa linapitisha treni nyingi sana kuliko ilivyozoeleka .
Alisema ukarabati wa njia yareli katika eneo hilo unalenga kuondoa kero yavumbi nakuwekekewa kokoto za kutosha .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni