Alhamisi, 6 Oktoba 2016

WAGONJWA 44000 HUFARIKI DUNIA KUTOKANA SARATANI .

Timothy Marko .
TAASISI ya Saratani ya Ocen Road imesema takribani wagonjwa 44,000 wanaugonjwa wasaratani kila mwaka ,ambapo hali hiyo imetokana nawagonjwa wengi kutofiika hospitali kuweza kupata tiba yaugojwa huo .

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkuu wa idara ya maabara kutoka tasisi hiyo Dk. Omar Sharman amesema takwimu zilizopo katikashirika la afya duniani (WHO) inaonesha kila mwaka wagonjwa 14.1 milioni hugundulika kuwa naugonjwa huo kati yao milioni 8.2 hufariki dunia .

''vifo vitokanayo nasaratani vinatarajiwa kuongezeka nakufikia milioni 22 ifikapo mwaka2030 wakati tanzania inawagonjwa44,000 sawa asilimia 12.5 ya wagonjwa wanafika katika taasisi hiyo ''Alisema Dk.Omar Shaman

Mkuu wa Maabara Shaman alisema kuwa kati yawagonjwa 44,000  ,80 tu ndio hufika katika hospitali huku wakiwa katika viwango vyajuu vyaugonjwa ambapo tatizo hilo linatokana na watanzania wengi kutokuwa na tabia yapima afya zao mara kwamara .

Alisema Takwimu zinaonesha wanawake wengi wapo katika hatari kubwa yakuugua ugonjwa wasaratani ambapo jumla wanawake 500000 waligundulika kuwa nasartani yakizazi .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni