Alhamisi, 27 Oktoba 2016

SERIKALI YAZINDUA MPANGO MKAKATI WAKUINUA SEKTA BINAFSI KATIKA KUKUZA UCHUMI .

Timothy Marko.
KATIKA kuhakikisha sekta ya viwanda inapewa umuhimu mkubwa katika kukuza uchumi napato lataifa ,serikali leo imezindua mpango mkakati wakuboresha sektahiyo kwakushirikiana na sekta binafsi .

Akizinduaripoti yahali yasekta binafsi barani afrika katika ukuaji uchumi iliyo andaliwa nabenki ya maendeleo ya Afrika (ADB)jijini Dar es salaam Waziri WA Viwanda na biashara Charles Mwijage amesema kuwa serikali ya awamu yatano imejikita katika kuhakikikisha sekta binafsi inapewa kipaombele katika kukuza uchumi .

''Sekta hii Binafsi imekuwa ikichangia pato kubwa la taifa yani GDP Kwakuwa sekta pekee inayotoa nafasinyingi za ajira japo sekta hii imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wamitaji katika ukuaji wa biashara ''alisema Waziri Charles Mwijage .
Waziri Mwijage amesema kuwa sektahiyo inahitaji nguvu kubwa katika kuhakikisha sektahiyo inachangia pato lataifa ambapo alizitaja jitihada mbalimbali ikiwemo mikopo katika taasisisi zakifedha ninguzo muhimu yakuwainua wajasilimali wadogo nakati .

Alisema Kamajitihada hazitochukuliwa nkatika kuimarisha sekta binafsi ikiwemo kifedha sekta hiyo itaendelea kubakinyuma,serikali imejitahidi kuweka mipango mikatati Kama mpango wakuwainua wajasilialiamali wadogo wadogo nakuweza kuinua kaya masikini ambapo jumla shilingi milioni 800 zimewekezwa katika kutekeleza mpango huo sambamba nampango wakuwainuavijana kiuchumi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni