Waziri wa Mambo yanje USHIRIKIANO WA KIKANDA WA JUMUHIA YA AFRIKA MASHARIKI Balozi Agustino Mahiga |
Timothy Marko.
SERIKALI imesema kuwa itaendelea kushilikiana na jumuhia ya za kimataifa katika kuweza kukabiliana na tatizo la Mauaji yawatu wenye ulemavu wa ngozi Albino kakuakikisha kundi hilo linalindwa nakupata hakizao kama inavyo stahili.
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 71 ya umoja wa mataifa yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Hall jjini Dar es salaam Waziri wa Mambo ya nje naushirikiano wakikanda wajumuhia ya Afrika Mashariki Balozi Agustino Mahiga amesema kuwa sambamba na kukabiliana na navitendo hivyo vya mauaji watu wenye ulemavu pia serikali imehaidi kutimiza malengo yamilenia yaliyowekwa na jumuhia za kimataifa ikiwemo kukomesha vitendo vya rushwa na ubadilifu vinadhibitwa ipasavyo .
''Uanzishwaji wa malengo ya awamu yapili ya milenia katika kutimiza malengo yakuhamasisha mipango yamaendeleo Tanzania imekuwa mstari wambele katika kuhakisha malengo milenia yanafikiwa ''alisema Waziri Agustino Mahiga
Balozi Agustino Mahiga amesema ilkuweza kufanikisha malengo ya milenia nilazima kulipa kipaombele kundi kubwa lavijana kuwa mdau mkubwa wa malengo hayo ilikutoweza kuliacha kundi hilo nyuma kama kaulimbiu inavyo eleza ''No one left Behind ''.
KATIKA hatua NYINGINE.Waziri mahiga amewashukuru wadau mbalimbali kuweza kutoa misaada yao katika familia zilizoathirika katika tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni