Jumatatu, 31 Oktoba 2016

SEKTA YAVIWANDA YAATHIRI MAUZO DSE

Tokeo la picha la patrick mususa
MENEJA  MAUZO NABIASHARADSE Patrick Mususa

 Timothy Marko 

MABADILIKO katika sekta yauwekezaji katika sekta ya viwanda nchini kumetajwa ndio chanzo pekee cha ukuwaji wa mauzo ya hisa katika soko la hisa la Dar es salaam (DSE) Kutoka bilioni 3.4 hadi kufikia blioni5.3 kwa wiki hii .


Hayo yamesemwa na Meneja Mauzo na Biashara wa Soko lahisa la Dar es Salaam Patrick Mususa wakai akitoa taarifa yake kwavyombo vya habari jijini Dar es Salaam ambapo Meneja huyo amesema kuwa katika takwimu za soko hilo ilioneshakuwa sektayaviwanda imekuwa kwa asilimia26 baada ya ongezeko labei yahisa za TBL kwa asilimia 0.76 Wakati huo huo ukubwa wamtaji umeongezeka kutoka 21.6 hadi kufikia trioni 21.8



''Takwimu zinaonesha kuwa Kampuni Tatu zinazo ongoza nipamoja na Benki ya Crdb (51.8%) Ikifuatiwa TBL(44.44%) wakati Dar es salaam Commercial Bank (DCB) Ikishika nafasi yatatu kwamauzo yahisa zake kwa asilimia 1.22 ''Alisema Meneja Mauzo na Biashara Patrick Mususa .


Mususa alisema kuwa wakati mtaji wasoko ukionesha kukuwa kwa asiimia moja bei ya yamakapuni hisa ya ndani imebaki ilele ya awali .



 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni