Blogu hii makini iko kwa ajili ya kuhabarisha masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Karibuni sana.
Jumatatu, 18 Julai 2016
Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna
Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) waliopandishwa vyeo
wakiapa mbele ya Rais Dk. John Pombe Magufuli na viongozi mbalimbali wa
serikali Ikulu leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni