Ijumaa, 27 Mei 2016

WADAU WAELIMU NCHINI WATAKA SERIKALI KUANGALIA UBORA WAWALIMU KUKUZA UBORA WAELIMU NCHINI.



Timothy Marko.


WADAU wa utafiti nchini wameitaka serikali kuifanyia marekebisho sera yaelimu nchini kutokana nakuwepo kutokana kuwepo kwa waalimu wasio kidhi viwango vya ufundishaji  katika soko la ajira.

 

Akizungumza katika mkutano wa uzinduzi waripoti wa ubora wasekta yaelimu iliyoandaliwa na taasisi yautafiti nchini (REPOA )mapema hii leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa taasisi hiyo Dk. Lucas Katera amesema kuwa sekta ya elimu nchini inakabiliwa nawalimu wasio kuwa naviwango vya kupeleka taaluma naujuzi kwenda kwa wanafunzi .

 

‘’SEKTA yaelimu imezidi kukukua lakini bado inakabiliwa nachangamoto nyingi ikiwemo uwezo walimu katika kuhamisha ujuzi kwenda kwanafunzi pamoja baadhi yamiundombinu mingi yashule ni hafifu hususan maeneo yavijijini ikilinganishwa na mjini ‘’Alisema Dk.LUCAS Katera .

 

Mkurugezi Katera alisema kuwa Kiwango cha Madarasa katika maeneo yamjini nikidogo ikilinganishwa na wingi wa wanafunzi wanaojinga katika shule za msingi za mjini ikilinganishwa idadi ndogo yawanafunzi walipo katika madarasa yaliyopo maeneo ya vijijini.

 

Alisema kumekuwepo natatizo lausawa wakijinsia kwawalimu kumekuwa nausawa wakijinsia katika maeneo ya vijijini Ikilinganishwa na maeneo yavijini .

 

‘’kuna maendeleo katika sekta yaelimu ikiwemo ongezeko la wanafunzi lakini pamoja naongezeko hilo bado nidogo lakini kumekuwepo na tatizo la ubora wa walimu katika kutoa huduma walimu wengi hawakidhi viwango vyaufundishaji kwa mwanafunzi ilikuweza kupata ujuzi ‘’Aliongeza Katera.

 

 


 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni