Ijumaa, 13 Mei 2016

MLIKI WA BAR ATIWA NGUVUNI KWA KUZUNGUKWA NA KINYESI



Timothy Marko.
KUFUTIA operesheni kali iliyofanywa na kamati yaulinzi na usalama ya wilaya kinondonihivi karibuni, kamati hiyo imebaini Mlikiwa Rambo Moteli hana leseni yakuuza vileo nakukiuka kanuni za afya kwakufanya bishara katika eneo lake huku akizungukwa na kinyesi nakusababisha afya za wakaazi waeneo hilo kuwa mashakani.

Akizungumza na waandishi wa habari mkuu wawilaya yakinondoni Ally Hapi mapema hii leo jijini Dar es salaam amesema kuwa sambamba naeneo la klabu hiyo kuzungukwa na kinyesi pia kamati hiyo yaulinzi na usalama ya wilaya hiyo ilibaini kuwepo kwa biashara yangono ,ubakaji pamoja kutiririsha maji taka katika eneo lilalozuka ukumbi huo wastarehe .

‘’kufuatia operesheni iliyofanywa nakamati yaulinzi na usalama ya wilaya yangu yakinondoni nimeamua kuifungia night klabu ya Rambo motel nakupeleka miliki wake  mahakamani  tangia jana Saa 8.30  ‘’Alisema MKUU wa wilaya Ally HAPI 
.
MKUU wa wilaya Hapi alisemakuwa  katika hatua nyingine wilaya yake imeweza kuwa tianguvuni wanajihusisha na biashara ya ngono 52 nakuweza kufikishwa mahakamani na watu 10 kwa uzembe na uzururaji na kuweza kupelekwa mahakamani .

Alisema katika operesheni hiyo kamati yake yaulinzi na usalama imeweza kuwatianguvuni wapiga debe 7 wamekakamatwa nakuweza kufikishwa mahakamani ,wakati huohuo kamati hiyo iliweza kukamata silaha moja na bastola risasi 4.

‘’vibaka wapatao wanne wameweza kukamatwa katika wilaya yetu yakinondoni upelelezi wa watuhumiwa hawa una endelea tumeweza kuwakamata watuhumiwa 12 wakiwawa namisokoto ya bangi 45 kufuatia ushirikiano mzuri na wakaazi wa  manzese ‘’Aliongeza MKUU wa wilaya Ally HAPI.



 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni