Jumatatu, 23 Mei 2016

MKAZI WA DAR ES SALAAM KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

 

 

 

Timothy Marko

JESHI la Polisi Nchini linamshikilia mkazi wa Magomeni Iddi Kaunga  (49) kwa Hutuhuma za usafirishaji wa Dawa za kulevya
Baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema huko magomeni.

Akizungumza na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha kudhibiti madawa ya kulevya nchini  ACP. Mihayo Msikhela Amesema kuwa Mei 17 wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo akiwa na kete hizo 66 nyumbani kwake.

“Mtu humiwa huyu anatarajiwa kufikishwa mahakama ya Kisutu  leo ili kuweza kujibu tuhuma zinazo mkabili ambapo tuna toa wito kwa wananchi kutoa taarifa poli endapo wata muhisi mtu waaina hiyo,” anasema Msikhela.

Anasema Jeshi la Polisi linaendelea na Oparesheni ya kupambana na madawa ya kulevya ili kuakikisha wana wa dhibiti wa fanya biasha hiyo nchini.

Aidha kuendelea kwa biashara hiyo nchini kumechangiwa na kuwepo kwa mipaka mirefu katika maeneo ya baharini pamoja nan chi kavu

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni