Alhamisi, 7 Aprili 2016

WANAFUNZI WAVYUO VIKUU WAJIUNGA NA DSE.

Timothy Marko.

WANAFUNZI wa vyuo vikuu takribani 1000 wamejiunga katika shindano la Schollar Investment challange linalo endeshwa na soko la hisa lajijini Dares salam(DSE)ambapo kati ya wanafunzi hao wavyuo vikuu wataweza kujua nakufahamu shughuli zitolewazo na taasisi hiyo ya fedha.



Akivitaja vyuo vilivyoshiriki katika shindano hilo Meneja Utafiti nafedha wasoko lahisa la Dar es salaam Ibrahimu Mshindo amesema kuwa vyuo ambavyotayari vimeshaonesha ushiriki katika shindano schoolar Investment Challange nipamoja na chuocha mipango ,chuo chausimamiziwa wafedha nabishara CBE ,Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM)pamoja nachuo kikuu kishiriki chamkoa wa Dodoma(UDOM).



''Tunawahamasisha wanafunzi wakutoka vyuo mbalimbali kujiunga katika shindano letu linalo endelea kwakutembelea tovuti ya young investor .com shindano hili linahamasisha jinsi yanamna kuweka akiba nakuwekeza katika soko letu lahisa ''Alisema IBRAHIMU Mshindo.



Meneja Utafitinafedha alisema kuwa sambamba na kutoa hamasa kwananafunzi hao pia soko hilo lamitaji limewateua mabalozi mbalimbali katika vyuo hivyo kuweza kukuza ushiriki katika mashindano mbalimbali yanayotolewa nasoko hilo lahisa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni