Ijumaa, 22 Aprili 2016

MSAHIKI MEA KINONDONI AWAWAWEZESHA VIKUNDI VYA UJASILIA MALI DAR .

Timothy Marko .


KATIKA kuviwezsha vikundi vya wajasilimali wadodogo wadogo nchini Mea wa wamanispaa ya kinondoni ameviwezsha vikundi vya wanawake navijana shilingi mlioni 19.55 ikiwa nisehemu yamchango yakutambua juhudi mbalimbali vinavyofanywa navikundi hivyo kuondokana na tatizo la ajira na umasikini .

Akizungumza katikazira yake jana aliyoifanya katika vikundi hivyo katika kata za wilaya za kinondoni ,Msahikimea huyo amsemakuwa vikundi vyakigogo kijulikanacho kama 301 kitaweza kupatiwa hundi yashilingi milioni 7.7 kama hatua yakukikisaidia kikundi hicho kiuchumi.

''KIKUNDI ambacho kitapata msada wakupatiwa mikopo nipamoja nakikundi cha KILUNGULE Bkilichopo kata yakimara ambapo jumla shilingi milionitatu zitatolewa kwani kikundi hiki kinajihusisha na mama lishe pamoja na biashara yasamaki ''Alisema Mstahiki Mea Boniface JACOB .

Mstakiki mea JACOB alisema kuwa kikundi cha saranga nacho kimepewa fursa yakupewa shilingi milioni 4.1 kwani kikundi hicho kimekuwakikijiuhusisha na bishara ndogo ndogo .

Alisema kuwa kikundi channe nikikundi cha biashara yaduka ambacho kikundi hicho kipo katika kata ya stopover nakupatiwa shilingi mil2.1wakati huouhuo kikundi cha goba kinacho jishugulisha naujenzi kiliweza kupatiwaa shilingi milioni 2.65

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni