Timothy
Marko.
TAKRIBANI
watu milioni 14 waliopo katika nchi za kusini mwajangwa la Sahara wanakabiliwa na
ugonjwa wa kisukari.
Idadi hiyo
inatarajiwa kuongezeka nakufikia milioni 28 itakapo fika mwaka 2040 .
Akitoa
takwimu hizo zimetolewa hii leojijini na
Mkurugenzi msaidizi kutoka wizara yaafyamaendeleo yajamii jinsia nawatoto Ayub
Magimba katika kongamano la wadau waugonjwa wa kisukari duniani amesema kuwa
idadi kubwa yawgonjwa wakisukari nchini wapo katika maeneo yamijini jambo
linalochangiwa na ulaji mbaya wavyakula na mtindo wa maisha .
‘’WAKATI
Tanzania ikiwa na mzigo mkubwa wakudhibiti ugonjwa wa ukimwi na malaria gonjwa
hili lakisukari limekuwa likipoteza watu nanguvu kazi yajamii kutokana na
gharama kubwa ya matibabu yakisukari ‘’Alisema Mkurugenzi msaidizi wa magonjwa
yasiyo yakuambukiza Ayubu Magimba .
Magimba
alisema kuwa katika kupambana na ugonjwa
wa kisukari nchini ,Tanzania kwakushirikiana na taasisi za kudhibiti ugonjwa
wakisukari duniani ilkuweza kutokomeza ugonjwa huo.
Kwa upande
wake muwakilishi washirika la afya duniani tawi la Tanzania Stephen Shongowe
amesema kuwa Tanzania imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa ya kukabiliana na
kudhibiti ugonjwa wakisukari ,shilika hilolipotayari kushirikiana na Tanzania
katika kukabiliana naugonjwa huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni