Alhamisi, 3 Machi 2016

TRA YAMKAMATA MFANYABISHARA KARIAKOO KWA KUKWEPA KODI MALI YENYE THAMANI YAMILIONI 80.

Tokeo la picha la richard kayombo

Timothy Marko.
MAMLAKA yamapato nchini (TRA) kwa kushirikiana na jeshi la polisi nchini lmemkamataPHILI ULAYA  mfanyabishara wa kazi za wasanii  wa nje ya nchi na zakitanzania kwa tuhuma za kuuza kazi za wasanii hao pasipo nakibali cha kodi cha mamlaka hiyo .

 Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa elimu kwamlipa kodi wa taasisi hiyo Richard Kayombo amesema kuwa mamlaka hiyo inamshikilia mfanyabaishara huyo kwa kutolipa kodi kwamali zenye thamani yashilingi milioni 80 .

‘’Mali tulizokamata kutoka kwa mfanyabishara huyu nipamoja na Cd pamoja na Dvd ambazo ni kazi za wasanii mbalimbali wakutoka nje na ndani ya nchi ‘’Alisema Mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi Richard Kayombo .
Mkurugenzi Kayombo alisema kuwa kutokana na sheria za mamlaka yakusimamia nakusajili kazi za wasanii nchini (COSOTA )nikinyume cha sheria kusambaza ama kudurufu kazi za waasanii pasipokuwa nakibali kutoka katika taasisi hiyo .

Sambamba naukamatwaji wa CDna DVD hizo pia mamlaka ya TRA pamoja najeshi lapolisi lina mshikilia mfanyabiashara huyo jijini Dar es salaam kata ya Karikoo wilayani ilala kwatuhuma za kuwa na Mashine tano za kudurufu Dvd za wasanii hao .

‘’Pia tumemkamata mfanyabishara huyu akiwa na Mashine za kudurufu DVD na cd  ambazo huzitumia katika kuuza nakurufu kazi za wasaanii’’Aliongeza Richad Kayombo .

Kwa upande wake Phili Ulaya Mdalo ambaye 
nimfanyabishara wa CD /dvd Katika jengo LA BUTTERfly Hotel mjini karikoo a Za wasanii hao alidakiuwa anafanya bishara hiyo kihalali na amekuwa akilipa kodi lakini amekuwa akizungushwa kupatiwa stakabadhi ya malipo yakodi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni