Naibu waziri wamambo yandani Hamad Masauni |
Timothy Marko.
Naibu WAZIRI
wa mambo yandani Hamad Masauni amewasimamisha kazi Askari watatu Lucas Maganda
,Aphan Mussa ,Abias Mwanza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa MWALIMU
JULIAS Kambarage Nyerere kwa wizi wamafuta yandege kiwanjani hapo.
Kusimamishwa
kwa maofisa hao wa u wanja wa ndege kunafuatia ziara aliyoifanya Naibu waziri
huyo mapema hii leo katika uwanjahuo wandege wa kimataifa jijini Dar es salaam ambapo
watuhumiwa hao kwanyakati tofauti walitumia magari ya zimamoto katika wizi huo
wa mafuta yandege nakuyaweka kwenye
madumu .
‘’Mnamo
tarehe JANUARY 13 mwaka huu Gari la zimamoto lilitumika katika kubeba madumu
yenye mafuta yandege ,tukio hili liwahusisha baadhi yawatu wausalama ambao sio
waaminifu katika uwanja wamwalimu nyerere wakiwa na gari lenye namba za usajili T225WY ‘’Alisema
Naibu waziri Hamad Masauni .
Naibu Waziri
Masauni alisema kuwa january 8 mwaka huu watuhumiwa hao walipita wakiwa
namadumu yakiwa na mafuta yanayosadikiwa ni mafuta yandege ,nakuwataka maofisa waidara yausalama kuendelea nauchunguzi nakupatiwa taarifa
baada ya siku kumi nanane kuanzia leo.
Alisema
watuhumiwa waliosimamishwa nipamoja na Lucas Maganda ambaye ni askari wakitengo
chamizigo katika uwanja wandege cha swispot,Aphan MUSSA,KHAFAN MUSA askari
wakitengo cha zimoto wakiwa nagari yenye usajili STJ 228 walikamatwa namadumu
yamafutayandege.
''uchunguzi wa watuhumiwa hawa unaendelea naikibainikia watafikishwa katika vyombo vya sheria na tararatibu zingine ikiwemo kuwasimamisha '
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni