Ijumaa, 26 Februari 2016

WAZIRI LUKUVI AWATAKA WATENDAJI WASERIUVI AWATAKA WATENDAJI WASERIKALI ZA MITASA KUWA WASIMAMIZI WAMIPANGO MIJI KATIKA MAENEO YAO .


Image result for WILLIAM LUKUVI
Timothy Marko.Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya makaazi nchini Wiliam Lukuvi amewapa Ramani za mipango miji watendaji wa serikali za mitaa ili kuweza kutambua maeneo mbalimbali na matumizi sahihi ya ardhi katika kata zao.
Hatua hiyo yakuwapa Ramani nihatua yakuberesha mipango miji katika mkoa wa Dar es salaam ambapo jiji hilo linasadikika kuwa na wakazi milioni tano huku likisadaikiwa kukukua mijiilyopo katika bara la afrika liliopo katika kusini mwa afrika linalokuwa kwa kasi huku likikabililiwa na Makazi holela .
''Leo nilikuwa nina wakabidhi michoro yaramani ya jiji la Dar es salaam wenyeviti waserikali za mitaa wa mkoa wadar es salaam ikuweza kujua nini kinaendelea katika mitaa yao ,jiji hili linakabiliwa na changamoto la ujenzi wa majengo usifuata Ramani za mipango miji ''Alisema Waziri Wiliam LUKUVI .
Waziri wa ardhi nyumba na Maendeleo ya makazi WILLIAM LUKUVI amesema kuwa kumekuwa natabia ya watendaji waserikali za mitaa kuruhusu ujenzi wa maeneo ya wazi kwa kigezo cha minadi yakupewa fedha na baadhi ya wanunuzi wa ardhi katika maeneo ya wazi jambo ambalo nikinyume na sheria za mipango miji
Alisema nivyema viongozi hao wa serikali za mitaa kutokaa kimya kufuatilia maeneo ya wazi ambayo yamemilikiwa nabaadhi ya watu huku wakifanya biashara kama vile baa nakupiga muziki hadi saa nane ya usiku jambo ambalo nikinyume na sheria za mipango miji .
''Kumekuwa na uvamizi wa maeneo yawazi hasa kunabaadhi ya wafanyabishara wamekuwa wakipiga muziki katika baa sehemu ambazo zilitakiwa kuwa wazi ,nabishara hiyo ili takiwa kuwa mbali na makazi ya watu kwani kupiga muziki hadi sanane yausiku katika maeneo hayo nikero ''Aliongeza WAZIRI LUKUVI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni