Timothy
Marko
KIWANGO cha
mauzo ya hisa kimeongezeka kutoka shilingi trioni 20.1hadi kufikia trioni 20.8
baada ya soko lahisa kuuza hisa zake katika kaunti ya CRDB.
Akizungumza
na waandishi wa habari Meneja Mauzo na bishara Patrick Musususa amesema kuwa
kiwango hicho cha mauzo kimeweza kutokana kushuka kwa sekta yaviwanda kwa asilimia
18.
Meneja mauzo na BIASHARA Patrick MUSUSA |
‘’Kiwango
cha mauzo ya hisa kimeongezeka kutoka trioni 20.1 hadi shilingi 20.8 kwa wiki
iliyopita ,hali hii imechangiwa nakushuka kwa sekta yaviwanda kwa asilimia 18’’Alisema
Meneja Mauzo na Biashara Patrick Musus
a .
Meneja Mauzo
Mususa alisema kuwa idadi yamakampuni yaliongoza katika uzwaji wa hisa katika
soko hilo nipamoja CRDB ,TBL ,NMB .
Alisema
kiwango chaukubwa wa mtaji kimeweza kuongezeka hadi kufikia asilimia 12.7
wakati huo huo aliwataka wanafunzi wavyuo vikuu kuweza kushiriki katika
shindano la scholar Challenge ilikuweza kukuza uelewa wasoko hilo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni