Timothy Marko.
TANZANIA imetakiwa kutekeleza mpango wa malengo ya
milenia yamwaka 2015 hadi 2025 kwakuzingatia usawa wakijinsia ilikuweza
kuondokana na tatizo la umasikini.
Wito huo
umetolewa namuwakilishi mkaazi wa umoja wa mataifa wa masuala ya wanawake Grace Banya katika kongamano lililoandaliwa
nataasisi ya Policy FORUM ambapo amesema kuwa ili kuhakikisha mpango
wamaendeleo wa awamu yapili wa 2015/2025 unafikiwa nilazima serikali na taasisi
zi zingatie usawa wakijinsia katika utekelezaji wa malengo hayo.
‘’ili
kuhakikisha malengo ya awamu yapili ya malengo ya milenia nilazima kuzingatia
usawa wakijinsia ilkuweza kuondokana natatizo la umasikini ‘’Alisema Muwakilishi
Mkazi Grace BANYA.
Grace Banya
alisema kuwa jitihada mbalimbali zinahitajika kati ya serikali na asasisi za
kiraia katika kutekeleza malengo ya awamu ya pili ya malengo ya milenia .
Alisema kuwa
nilazima taifa liwekeze nguvu Zaidi katika kuweza kuondokana na tatizo la njaa
naupungufu wa chakula nilazima kuwekeza katika mazao ya chakula pamoja na sekta
yaviwanda ilikukabiliana na hali hiyo .
‘’VIONGOZI
katika bara la afrika wamejiwekea malengo ya mwaka 2023 katika kuhakikisha
maendeleo ya wanawake katika bara hili yanafikiwa ‘’Aliongeza Banya .
Aliongeza
kuwa TANZANIA inahitaji kutumia rasmali zake ilkuweza malengo yake yanavikiwa
katika kuteleza malengo yamilenia ya awamu ya pili yakwanza .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni