Timothy Marko WAANGALIZI wa uchaguzi wa kutoka katika jumuhia ya Afrika Mashariki wapatao 55 wanatarajia kuangalia mwenendo wauchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika october 25 mwaka huu .
Katika ujumbe uliotolewa na Mkuu wa wawangalizi hao ambaye pia ni Katibu wa jumuhia hiyo ya Afrika Mashariki Charles Njoroge asema kuwa lengo la waangalizi hao nikuhakikisha uchaguzi wa mwaka huu unafanyika katika misingi ya amani na utulivu .
''Lengo lakutuma waangalizi wauchaguzi wa afrika mashariki nikuhakikisha uchaguzi huu unafuata misingi ya kidemokrasia ikiwemo amani nautulivu ambapo tuliweza kufuatilia mwendendomzima wakipindi cha kampeni,tuna tarajia kutoa ripoti hapo badae pindi uchaguzi utakapo malizika '' Alisema Charles Njoroge .
Katibu mkuu wa jumuhia ya Afrika Mashariki Charles Njoroge alisema kuwa wangalizi hao wakimataifa watafuatilia mienendo yakipindi cha Kampeni nazoezi zima la upigaji kura kama imeweza kufuata misingi ya kimataifa ya uchaguzi .
Alisema kuwa zoezi hilo litangaliwa wanawangalizi wandani nanje ya jumuhia yafrika mashariki ambapo wangalilizi 12watatoka katika nchi ya Tanzania nawengine 55 watatoka nchi mbalimali za umuhia hiyo kuja kutazama mwenendo wauchaguzi .
''Zoezi hili litatazama mwendo mzima wauchaguzi ambapo waangalizi wa jumuhia yaafrika mashariki waliopatiwa mafunzo mbalimbali ya uangalizi wa uchaguzi watahakikisha taratibu zauchaguzi zinafutwa ilkuweza kutoa ripoti hata baada yauchaguzi kufanyika ''Alingeza Njoroge .
Kwaupandewake Katibu wa wizara ya Afrika Mashariki JOYCE Mapunjo alisema kuwa Tanzania imekuwa ni nchi yakidemokrasia ambapo mara ya Rais atakapo maliza vipindi viwili vya madaraka Kwa muda wamiaka 10 haitarajiwi Rais huyo kujiongezea muda wakutawala tena nilazima aje mtu mwingine kuchukua nafasi yake .
Alisema Rais Jakaya KIKWETE amesha maliza muda wake wakuongoza kwa kipindi cha miaka 10 hivyo hatutamtarajia kuongeza muda wa kuliongoza taifa latanzania kwani itakuwa nikinyume nakatiba tofauti nanchi nyingine za Bara la afrika .
''Kwamujibu wakatiba yetu Kiongozi hutawala kwakipindi cha miaka 10 hivyo hatumtarajii Rais KIKWETE kuongoza tena kwakipindi kingine taifa letu limejenga misingi yakuachiana Madaraka ''Aliongeza Joyce Mapunjo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni