Timothy Marko.Katika kuhakikikisha wawekezaji wahisa wanapata taarifa sahihi waandishi wa habari wameaswa kuzingatia weledi wakuandika nakuziripoti Habari zinazo husu masuala mbalimbali ya husuyo masoko ya hisa ilkuweza kukuza uchumi na kuwavutia wawekezaji wa nje ndani .
Wito huo umetolewa leo na Meneja Biashara wasoko la hisa la jijini Dar es salaam (DSE) Ibrahimu Mshindo wakati akizungumza nawaandishi wa Habari katika mafunzo yasiku moja yaliyotolewa na taasisi hiyo ilikukuza uweledi wa uandishi wa habari za Biashara katika kutoa elimu sahihi kwa wananchi kuhusiana na soko lahisa .
''Lengo la washa hii nikuweza kuwajengea uwezo wa waandishi wa habari wa masuala yakiuchumi kuweza kutoa taarifa sahihi zenyekuzingatia weledi namisingi yakibishara ilikuziwezesha taasisi mbalimbali za kifedha kuweza kuandaa ripoti za masuala mbalimbali ya kifedha ''Alisema Ibrahimu Mshindo.
Meneja Bishara Mshindo alisema kuwa kumekuwa nachangamoto kubwa katika uwasilishaji wa taarifa kwa usahihi wa masula mbalimbali yahusianazo namasuala hisa hivyo kupelekea baadhi ya wawekezaji nawanunuzi wa hisa kutoweza pata taarifa za mwenendo wasoko lahisa kwa usahihi .
Alisema kuwa Endapo taarifa za mwenendo wa soko la hisa zitaripotiwa kwa usahihi wawekezaji nawanunuzi wahisa watazitumia taarifahizo kwakuweza kukuza uchumi nakuweza kuondokana na umasikini nakuweza kujimarisha kiuchumi .
''Suala la habari za kiuchumi linagusa katika kiwango cha dhamana katika soko nauwezo wakuzichakata hizo taarifa iliziwe habari kwa kuzingatia misingi ya kiuchumi ambapo nilazima kujua nimakampuni mangapi yamekwa katika orodha ya hisa ilikuchangia uchumi nakiwango ubadilishaji fedha kina weza kuhusikavipi katika eneo la kiuchumi ''Aliongeza Meneja MSHINDO.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni