Timothy Marko.
KATIKA
Kuhakikisha JESHI lapolisi lilinakabiliana nauhalifu Jeshi hilo limewakamata
watu wawili ambao walikuwa wanatafutwa najeshi hilo kwakuhusika navitendo vya
utekaji naunyanya saji kijinsia ikiwemo mauaji yawanawake .
Akizungumza mapemahiileo
jijini Dar es salaam Kamishina wajeshi lapolisi kanda maalumu jijini humo SULEMAN KOVA amesema kuwa
watuhumiwa waliokamatwa nipamoja na Abubakari Amani (28)Mkazi wa mwenge
,Ezekiel Kasenga (25)mkazi wa Tandika jijini Dar es salaam .
‘’watuhumiwa
hawa wamehusishwa navitendo hivyo baada ya upelelezi wakina na wakitaalam ambao
umesaidia kuwakamata wahalifu hao wakiwa navielezo mbalimbali walivyobaki baada
yakuwadhuru wahanga ambao wengi wao ni wanawake werika lawasichana .’’Alisema
Suleman Kova .
Kamanda
Suleman KOVA alisema kuwa baada yawatuhumiwa hao kuhojiwa na jeshi hilo
walikiri kuhusika na matukio ya mauaji aliyekuwa mkazi wabagamoyo wanze Makongoro (23)ambaye aliyekuwa
mwanafunzi chuo cha Bagamoyo .
Katika hatua
nyingine jeshi hilo kwakushirikiana kikosi cha usalama barabarani kanda maalumu
imeweza kuwakamata wamakosa ya usalama barabarani ikiwemo magari 18,085
pikipiki 3,837 daladala 9,619 maroli ,8466 .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni