Timothy Marko
Katika kuhakikisha sekta yamaji inakuwa hapanchini serikali imesema kuwa mchango wa sekta yamaji umeweza kukuwa katika kipindi cha miaka sabaambapo vijiji mbalimbali vimeweza kufikiwa na miradi mbali ikiwa ni juhudi za wadau mbalimbali wa maendeleo ikiwemo benki ya dunia na pamoja na serikali .
AKizungumza jijini jana katika uzinduzi wa mpango wamaji kwa awamu yapili waziri wa maji profesa Jumanne Magembe amesema kuwa jumla yawatu 8,211,500 kapindi cha mwa ka 2007wameweza kupatiwa huduma ya maji safi hadi kufikia juni mwaka huu wananchi 19,396,000 wameweza kupatiwa hudumahiyo ya maji safi na salama .
‘’Mchango wa mpango wa tekeleza sasa kwa matokeo makubwa BRN kwenye sekta ya maji nimkubwa sana kwasababu yaunyambulisho nilio uonyesha hapo awali idadi yavituo vyakuchotea maji vimeongezeka kutoka vituo 16,062hadi kufikia 32,846 ambapo jumla ya watu 8,211,500hadijuni watu 19,39600wameweza kupatiwa huduma ya maji safi na salama ‘’Alisema Waziri Jumanne Magembe .
Waziri Magembe alisema kuwa ongezeko hilo ni wastani wa asilimia 40 kwa mwezi julai mwaka jana hadi kufikia asilimia 51 juni mwaka huu .
Alisema Ongezeko hilo la asilimia kumi na moja limetokana na Baada ya serikali kuondoa urasmu katika utekelezaji wa miradi hasa kuwa kondoa taratibu zinazowataka mamlaka zaserikali za mitaa kuomba kibali cha wizara na benki yadunia kuanza utekelezaji wa miradi hiyo.
‘’Kuruhusu watekelezaji wamiradi ikiwemo serikali za mitaa kuanza utekelezaji wa miradi mara moja kwakutumia fedha zilizopo kwenye akaunti zao badala yakusubiri hadi fedha zote zamiradi zipatikane hali inachewesha kuanza kwamiradi mbalimbali yamaji’’Aliongezawaziri Magembe.
Katika hatua nyingine Muwakilishi mkaazi wa Benki yadunia Wa hapa nchini Phillph Dongie amesema kuwa katika kutekelezwaji wamiradi hiyo yamaji hapa nchini ulianza nachangamoto ambapo maeneo ya vijini kulikuwa naukosefu waumeme hali ilipelekea miradi hiyo kutokamilika kwa wakati .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni