Timothy Marko
Katika hatua isiyo yakawaida baadhi yawanachama wa chama UDP wamedaiwa kuchukuwa makontena bila kufuatataratibu kinyume cha sheria kwakutumia jina lamwenyekiti wa chamahicho ilkuweza kujinufaisha kupitia jina lamwenyekiti huyo .
Akizumngumzajijini mapemahii leo Meneja wa yadi kampuni JBR Metal COMPANY kata yakurasini YAHAYA Said amesema Mtu huyo ambaye hutumia jina yambungewa tiketi ya UDPChristopher Mtikila kuwa ni ndugu wa kiongozi huyo alimaarufu mtikila amekuwa akitumia jina lakiongozi katikakuvamia eneo hilo ambapo mtu huyo amekuwa akitoa makontena kinyume chasheria hali inaypelekea mtu huyo kudaiwa mizigo iliyopo kwenye makontena yenyethamani shilingi milioni sita .
‘’SIsi tulisha mwambia mtikila Kuwa tunamdai shilingi miloni sita katika kontena kwa kuhamisha malizilizopo kwenye kontena na mizigo huyu mtikila tunaiomba serikali imbane hata uongozi wa serikali yamtaa imesema haimtambui mtu huyu ‘’Alisema Yahaya SAIDI.
Saidi alisema kuwa mtu huyo amekuwa akitumia jina la OMARY MTIKILA kifamiliailikujinufaisha Ambapo mtu huyu a mekuwa akitumia jina hili kuvamia eneo la yadi iliyopo kurasini .
Katika hatua nyingine Mwenyekiti wa serikali yamtaa ya kurasini Adam dachi amesema kuwa alipata taarifa ya mtu huyo akitumia jina lamwenyekiti huyo ilkuchukua makontena na mtu alijulikana msini kuwa mtu huyo anayetumiajina lamtikila anakuja kuchukua makontena .
Adam DACHI alisema kuwa anamtambua miliki halali wa makontena hayo ambaye ni hamisi nakukiri kuwa Omari mtikila ambaye amkuwa akitumia jina mwenyekiti wa UDP kujinufaisha kuwa yeye hamtambui na kuongeza kuwa hivi karibuni katika familia hiyo imekuwa na mivutano katika sheria ya mirathi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni