Timothy Marko.
RAIS Jakaya
kikwete amewataka watanzania wa naoishi nchi za nje kuwekeza katika nchi yao ilikujieletea maendeleo kama
wanavyo fanya raia wanchi za kigeni wa napotembelea katika nchi ya Tanzania nakusititza
kuwa hata mataifa mengine yamekuwa
kiuchumi kwa sababu ya uwekeza ji wa rasmali zao katika nchi zao.
Akizungumza
katika mkutano wa watanzania wanaoishi nje yanchi mapema hii leo katika jiji la
Dar es salaam Rais Kikwete amesema kuwa ni vema watanzania hao wa ishio nje
yanchi kuikumbuka nchi ya o kwani nyumbani nyumbani nakusistiza kuwa inakaririwa
zaidi yadola milioni 10.2 huja kuwekeza hapa nchini ikilinganishwa na nchi yakenya ambapo raia
wanaoishi ughaibuni huchangia pato lataifa zaidi ya dola bilioni 1.3
‘’Sisi
hatutakuwa wakwanza kufanya hivyo nchi nyingi duniani zimekuw a zikifanya hivyo
wenzetu wanafanya hivyo nawamekuwa wakinufaika nchi nyingi zimekuwazikifanya
hivyo nakuweza kukuza pato lao la ndani na kukuza uchumi ‘’Alisema Rais
kikwete.
Rais kikwete
alisema inakaririwa zaidi ya watu milioni 200 wanaishi nchi ambazo si za kwao
nakumekuwa na idadi ndogo ya watanzania wanao ishi nchi za nje hii nikutokana
nahali yakisiasa kuwa nzuri ikilinganishwa na nchi zingine nakusistiza kuwa
idadi kubwa ya watanzania wanao kwenda nje nikwaminadi ya kiuchumi na kielimu
ikilinganishwa na wananchi wanchi zingine wengi hukuimbilia nchiza ugaibuni
kutokana na machafuko ya nchi zao .
Alisema hivi
karibuni alitoa maagizo katika wizara ya nyumba na makazi ili watu waishio nchi
za nje (diaspora )kuweza kupatiwa aridhi kwa jili ya kujenga nyumba
nakusisitiza kuwa swala lauraia wanchimbili ambao umekuwa ukizungumziwa
nchinyingi zimekuwa zinafanya suala hilo lakini suala hilo halikujitokeza
kwenye rasmu ya kwanza yakatiba mpya .
‘’watanzania
suala hili la uraia wanchi mbili halija wakere keta kama mambo mengine kwenye
mchakato wa katiba lakini nyinyi nawaomba mjitahidi kulisemea suala hili lakini
sauti yenu haisiki sana ‘’Aliongeza Rais kikwete .
Katika hatua
nyingine Rais KIKWETE alisema watanzania walioko ndani na nje yanchi wanawajibu
wakuchangia maendeleo yanchi yao ikiwemo kuleta mitaji
,teknolojia,maarifa,ufumbuzi wa zana na vifaa nakusistiza kuwa masoko yabidhaa
nimuhimu katika kujiletea maendeleo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni